• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • KIKAPU: Ligi ya kikapu DSM (RBA): ABC yatakata

    (GMT+08:00) 2019-03-25 10:13:51
    Uzoefu wa wachezaji wa timu ya ABC umeiwezesha kuibuka na ushindi wa pointi 76-45 dhidi ya Mgulani JKT katika mchezo wa ligi ya mpira wa kikapu mkoa wa Dar es Salaam (RBA) inayopigwa uwanja wa ndani wa Taifa.

    Katika mchezo huo timu zote mbili zilianza taratibu, dakika moja kabla ya robo ya kwanza kumalizika, ABC ilikuja juu na kufunga pointi za harakaharaka na kuongoza kwa 13-11.

    Wakitumia wachezaji wao wakongwe, ABC waliendeleza makali yao hadi mwisho wa mchezo ABC wameibuka na ushindi huo mnono.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako