Kutokana na makubaliano hayo ya MoU, pande hizo mbili zitafanya juhudi kuhimiza soka la Italia liunganishe soko la michezo la China, kueneza michezo ya soka nchini China, kuandaa mechi za kirafiki kati ya timu za taifa za nchi hizo mbili, n.k.
Bw. Shen amesema, CMG itafanya juhudi kuunga mkono ushirikiano wa kimataifa wa jumuku la soka la China, na kuhimiza uhusiano kati ya China na Italia kwa kupitia michezo ya soka.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |