• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • RUGBY: Kikosi cha wachezaji 7 kila upande cha timu ya taifa ya rugby ya Uganda chatajwa

    (GMT+08:00) 2019-03-26 08:52:31
    Timu ya taifa ya rugby ya wachezaji saba kila upande ya Uganda inatarajia kushiriki michuano ya kufuzu kombe la dunia la mchezo huo itakayofanyika Hong Kong wiki ya kwanza ya mwezi April mwaka huu.

    Kocha wa timu hiyo Tolbert Onyango ameita wachezaji nane kujiunga na timu hiyo kwa ajili ya maandalizi ya kushiriki michuano hiyo. Onyango amebainisha kuwa timu hiyo itaenda kushiriki michuano ya rugby wachezaji 7 kila upande nchini Zimbabwe kabla ya kuondoka March 31 kuelekea Hong Kong.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako