• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Taifa Stars, Mwakinyo waitwa Ikula na JPM, awapa zawadi ya viwanja Dodoma

    (GMT+08:00) 2019-03-26 08:52:52
    Baada ya kupeperusha vyema bendera ya Tanzania kimataifa, timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars kufuzu michuano ya mataifa ya Afrika (AFCON 2019),nae bondia anayekuja kwa kasi Hassan Mwakinyo akimtoa kwa KO bondia Sergio Gonzalez wa Argentina, Rais wa Tanzania John Magufuli jana mchana alikutana na viongozi wa michezo, wachezaji wa taifa stars pamoja na bondia Hassan Mwakinyo kwa minajili ya kuwapongeza na kuwapa neno.

    JPM amewapa zawadi ya viwanja katika mji wa Dodoma yalipo makao makuu ya nchi hiyo, kwa wachezaji wote wa taifa stars pamoja na bondia Hassan Mwakinyo na mwalimu wake sambamba na wachezaji wawili wa zamani wa Tanzania Peter Tino na Leordiga Tenga.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako