• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri mkuu wa Uingereza asema hakuna uungaji mkono wenye ufanisi kwa upigaji kura wa tatu kuhusu makubaliano yake ya Brexit

    (GMT+08:00) 2019-03-26 08:59:55

    Waziri mkuu wa Uingereza Bibi Theresa May amesema "bado hakuna uungaji mkono wenye ufanisi" katika Baraza la Makabwela kwa ajili ya kuyapigia kura kwa mara ya tatu makubaliano yake ya Brexit. Amesema hayo kwenye Baraza hilo wakati Kamisheni ya Umoja wa Ulaya kutangaza kuwa ilikuwa imemaliza maandalizi kuhusu uwezekano wa Brexit isiyo na makubaliano tarehe 12, Aprili, na kuonya kuwa uwezekano huo unaongezeka.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako