• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Michuano ya kufuzu mataifa ya Ulaya (EURO 2020)

    (GMT+08:00) 2019-03-26 09:19:37
    Michuano ya kufuzu mataifa ya Ulaya (EURO 2020) imeendelea usiku wa jana kwa mechi za makundi kadhaa kupigwa. Kundi A: Kosovo imetoshana nguvu ya 1-1 na Bulgaria, Kundi C: Ireland Kaskazini imeifunga Belarus kwa mabao 2-1, huku Ujerumani ikiipiga Uholanzi 3-2,

    Kundi E: Hungary imeifunga Croatia 2-1, huku Kundi G: Israel imeibamiza Austria goli 4-2, Poland imeibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Latvia, Slovenia wakitoka sare ya 1-1 na Marcedonia Kaskazini. Na mchezo wa Kundi I: Scotland imeifunga San Marino 2-0 huku Ubelgiji ikiimaliza Cypus kwa goli 2-0.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako