• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mke wa rais wa China atembelea nyumba ya opera ya Paris

    (GMT+08:00) 2019-03-26 09:23:04
    Mke wa rais wa China Bibi Peng Liyuan ametembelea nyumba ya opera ya Paris akifuatana na mke wa rais wa Ufaransa Bibi Brigitte Macron. Bibi Peng ametembelea ukumbi wa opera na ukumbi wa mazoezi ya ngoma, huku akiangalia kipindi cha opera ya Die Zauberflote.
    Bibi Peng amesema, ataka wasanii wa nchi hizo mbili kuimarisha mawasiliano, ili kutoa mchango mkubwa zaidi katika mawasiliano ya watu na utamaduni kati ya nchi hizo mbili na kuzidisha urafiri kati ya watu wa nchi hizo mbili.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako