• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Baraza la Asia la Boao la mwaka 2019 lafuatilia uchumi wa wazi wa dunia

    (GMT+08:00) 2019-03-26 18:46:02

    Baraza la Asia la Boao la mwaka 2019 limefunguliwa leo mkoani Hainan, na kuhudhuriwa na wajumbe zaidi ya elfu mbili kutoka nchi na sehemu 60.

    Katibu mkuu wa baraza hilo Bw. Li Baodong amesema, mada kuu ya baraza la mwaka huu imegawanyika katika sehemu tano, ambazo ni uchumi wa wazi wa dunia, maendeleo ya ubunifu, maendeleo ya ubora wa juu, mambo yanayofuatiliwa zaidi ya siasa, diplomasia, usalama, elimu na afya.

    Bw. Li ameongeza kuwa, sehemu ya uchumi wa wazi wa dunia inalenga kutafuta ufumbuzi wa kukabiliana na changamoto ya utandawazi wa dunia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako