• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • RIADHA: "Nikipata nafasi Olimpiki nitaleta Medali nyumbani"-Giniki

    (GMT+08:00) 2019-03-27 08:28:10
    Mwanariadha wa Tanzania, Emmanuel Giniki amezidi kujitangaza kimataifa na kupata mashabiki zaidi kutokana na kufanya vyema kwenye mialiko yake, ambayo amekuwa akialikwa.

    Kutokana na umaarufu huo, baadhi ya wadau wamejitokeza, wakitaka kuinunua jezi yake kwa gharama yoyote ile, tukio hilo limetokeza nchini Uhispania, alipokwenda kushiriki mashindano ya ya mbio za nyika ya kilomita 10.

    Giniki amesema anamatumaini ya kushiriki na kufanya vizuri katika mbio za nyika zinazotarajiwa kufanyika Machi 30 mwaka huu nchini Denmark na kwamba, mashindano hayo yatazidi kumjenda kwa ajili ya kushiriki mashindano mengine ya kimataifa, ambayo yapo mbele yake yakiwamo Olimpiki.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako