• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Kuelekea Olimpiki Japan 2020: Ratiba ya mechi kufuzu michuano ya Olimpiki kwa wanawake kupigwa Aprili 3

    (GMT+08:00) 2019-03-27 08:29:04
    Michezo ya awali ya kufuzu michuano ya Olimpiki kwa upande wa soka la wanawake inatarajiwa kufanyika Aprili 3 mwaka huu kwa timu ya taifa ya wanawake ya Gabon itakapokutana na timu ya taifa ya wanawake ya DRC, huku Ethiopia itavaana na Uganda, nao Mali watamenyana na Morocco.

    Timu ya taifa ya wanawake ya Angola imejitoa kwenye kinyang'anyiro hicho hivyo mchezo wao uliokuwa upigwe Aprili mosi dhidi ya timu ya taifa ya Zambia hautokuwepo.

    Fainali za michuano hiyo zitafanyika Januari 13 mwakani na kupata mshindi atakashiriki michuano ya Olimpiki itakayofanyika Tokyo Japan mwaka 2020.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako