• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa China atoa pendekezo la kuimarisha usimamizi wa dunia

    (GMT+08:00) 2019-03-27 10:06:21

    Rais Xi Jinping wa China jana huko Paris akihutubia hafla ya kufungwa kwa kongamano la usimamizi wa dunia kati ya China na Ufaransa, ametoa pendekezo la kuimarisha usimamizi wa dunia.

    Rais Xi amesema hivi sasa dunia inakabiliwa na mabadiliko makubwa na hali ya utatanishi, nchi mbalimbali zinapaswa kubeba majukumu ya kimataifa, kuchukua hatua halisi badala ya kukaa kimya, na kufanya juhudi za pamoja ili kudhibiti mustakabali wa binadamu.

    Amependekeza nchi hizo kushikilia haki katika masuala ya usimamizi wa dunia, kushikilia kujadiliana na kuelewana katika utatuzi wa suala la uaminifu, kushikilia ushirikiano katika utatuzi wa suala la amani, na kushikilia kunufaishana katika utatuzi wa suala la maendeleo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako