• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda yatoa msaada wa kifedha kwa Msumbiji

    (GMT+08:00) 2019-03-27 16:05:01

    Uganda imetoa msaada wa dola za kimarekani laki mbili kusaidia wahanga wa kimbunga Idai kilichoikumba Msumbiji.

    Taarifa iliyotolewa na Wizara ya mambo ya nje ya nchi hiyo imesema, mchango huo ni kutimiza ahadi iliyotolewa na rais Yower Museveni wa nchi hiyo kuwasaidia watu walioathiriwa na kimbunga.

    Jumatatu wiki hii, Umoja wa Mataifa uliomba dola za kimarekani milioni 282 kwa ajili ya kuwahudumia waathirika wa kimbunga Idai kilichoikumba Msumbiji wiki iliyopita.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako