• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa Uganda aanza ziara ya siku mbili nchini Kenya

    (GMT+08:00) 2019-03-27 18:28:42

    Rais Yoweri Museveni wa Uganda ameanza ziara ya kiserikali ya siku mbili nchini Kenya hii leo, ikiwa ni sehemu ya kuboresha uhusiano wa pande mbili kati ya nchi hizo.

    Rais Museveni ambaye aliwasili mjini Mombasa, anatarajiwa kufanya mazungumzo ya pande mbili na mwenyeji wake rais Uhuru Kenyatta wa Kenya, na baadaye kuhudhuria mazungumzo ya kibiashara na ujumbe wa nchi hizo mbili.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako