• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • RIADHA: AK yawarejesha Pogisho na Kiprop mbio za Afrika

    (GMT+08:00) 2019-03-28 08:14:46
    Shirikisho la riadha nchini Kenya (AK) limewarejesha wanariadha Reuben Pogisho na Jacob Kiprop ambao awali walitemwa licha ya kuibuka washindi wa mbio za mita 5,000.

    Wawili hao kwa sasa watakuwa sehemu ya kikosi kitakachopeperusha bendera ya Kenya kwenye michuano ya shirikisho la riadha Afrika (CAA) kwa wanariadha wasiozidi umri wa miaka 20.

    Mbio hizo zitaandaliwa jijini Abidjan, Ivory Coast kati ya Aprili 13 hadi 20 mwaka huu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako