• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • VOLIBOLI: Michuano ya Klabu Bingwa Afrika- Pipeline yaiondolea Kenya aibu

    (GMT+08:00) 2019-03-28 08:15:04
    Timu ya wanawake ya voliboli Pipeline kutoka Kenya imejipatia medali ya shaba katika michuano ya klabu bingwa Afrika baada ya kuichabanga GS Patrollers ya Algeria kwa seti 3-0 jijini Cairo nchini Misri.

    Vipusa hao wa Pipeline, ambao ndio timu ya pekee kutoka Kenya iliyofika robo fainali mwaka huu, walisherekea ushindi huo baada ya kutwaa medali hiyo waliyovuna kwa kulemea Petroliers kwa alama 25-22, 25-17, 25-18 katika mechi ya kusisimua ya kutafuta mshindi wa tatu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako