• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Michuano ya Klabu bingwa Ulaya ya wanawake: michezo kadhaa ilipigwa jana

    (GMT+08:00) 2019-03-28 08:17:03
    Michuano ya klabu bingwa Ulaya upande wa wanawake imepigwa usiku wa jana katika viwanja vinne kwa timu nane kukutana. Timu ya wanawake ya Olimpique Lynonnais imeibuka na ushindi mnono wa goli 4-2 dhidi ya VFL Wolfsburg, nao Barcelona ya wanawake imeambulia ushindi kiduchu wa goli 1-0 dhidi ya LSK Kninner, akina dada wa Paris Saint Germain wao wamewachapa wenzao wa Chelsea kwa bao 2-1 na mechi ya mwisho ilikuwa baina ya Bayern Munich dhidi ya Slavia Prague, Vipusa wa Bayern wamewamwagia mvua ya magoli 5-1 vipusa wa Slavia.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako