• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ujumbe wa usalama wa Misri wawasili Gaza kwa ajili ya mazungumzo na viongozi wa Hamas

    (GMT+08:00) 2019-03-28 09:03:40

    Ujumbe wa ngazi ya juu wa idara ya ujasusi ya Misri umewasili katika ukanda wa Gaza na kufanya mazungumzo na viongozi wa kundi la Hamas kwa lengo la kuondoa mvutano na Israel. Baada ya maroketi kurushwa kutoka Gaza dhidi ya eneo la katikati ya Israel, ambako nyumba kadhaa ziliharibiwa na watu 7 wa Israel kujeruhiwa kaskazini mwa mji wa Tel Aviv, mvutano unaongezeka kati ya wanamgambo wanaoongozwa na Hamas katika ukanda wa Gaza na Israel.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako