• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Baraza la Usalama laongeza muda wa kuwepo kwa UNSOM nchini Somalia

    (GMT+08:00) 2019-03-28 09:04:03

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepitisha azimio la kuongeza muda wa kuwepo kwa Kikosi cha Kutoa Msaada cha Umoja wa Mataifa nchini Somalia UNSOM hadi tarehe 31, Machi mwaka 2020. Kwa mujibu wa azimio hilo, UNSOM itaendelea kutoa uungaji mkono wa kimkakati na kutoa ushauri kwa serikali ya Somalia na Tume ya Umoja wa Afrika nchini Somalia AMISOM kuhusu ujenzi wa amani na taifa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako