• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wathiopia elfu 16 wafariki kutokana na UKIMWI kwa mwaka

    (GMT+08:00) 2019-03-28 10:06:37

    Serikali ya Ethiopia imesema, waethiopia zaidi ya elfu 16 wanafariki kila mwaka kutokana na ugonjwa wa UKIMWI.

    Taasisi ya afya ya umma ya Ethiopia imesema, watu wapatao laki 4.5 wa nchi hiyo wanapewa matibabu ya ART.

    Kuanzia mwaka 2016, Ethiopia imejitahidi kutimiza lengo la kuzuia vifo vya watu zaidi ya laki 5 kutokana na ugonjwa huo na kupunguza maambukizi mapya elfu 80 kabla ya mwaka 2020, ikiwa ni sehemu ya mpango wa miaka mitano wa maendeleo na mageuzi GTP-II.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako