• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Maandalizi ya AFCON 2019 U-17, Serengeti Boys yatua Rwanda

    (GMT+08:00) 2019-03-29 08:16:03
    Kikosi cha timu ya taifa ya vijana cini ya umri wa miaka 17 ya Tanzania Srengeti Boys kimewasili jijini Kigali Rwanda tayari kushiriki mashindano maalum ya maandalizi ya fainali za AFCON 2019-U17 Afrika.

    Tanzania itakuwa mwenyeji wa michuano hiyo ya AFCON 2019-U17 itakayofanyika mwezi ujao jijini Dar es Salaam April 14 hadi 28. Katika kujiandaa na fainali hizo, mataifa matatu yapo nchini Rwanda kushiriki mashindano hayo maalumu ya wiki tatu tu ambayo ni wenyeji Rwanda, Tanzania na Cameroon.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako