• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Kufuzu michuano ya Olimpiki 2020 Japan- Amavubi yailazimisha sare Leopards

    (GMT+08:00) 2019-03-29 08:16:34
    Mchezo wa kirafiki kati ya timu ya soka ya taifa ya wanawake ya DRC (The Leopards) na timu ya soka ya taifa ya wanawake ya Rwanda Amavubi iliyopigwa mjini Gisenyi Rwanda, imemalizika kwa sare ya bao 1-1.

    Timu ya wanawake ya DRC imechagua mji wa Goma kuweka kambi yake kwa maandalizi ya mchezo baina yake ya timu ya taifa ya wanawake ya Tanzania (Twiga Stars) utakaopigwa jijini Dar es Salaam na marudiano kupigwa mjini Kinshasa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako