• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Ligi kuu Uingereza kuendelea wikiendi hii, kifaa cha Liverpool charejea kikosini

    (GMT+08:00) 2019-03-29 08:17:25
    Beki wa Liverpool, Joe Gomez, amerejea mazoezini wakati timu yake ikijiandaa na mchezo mgumu wa ligi kuu ya Uingereza dhidi ya Tottenham Hotspur utakaopigwa Jumapili ya wikiendi hii.

    Beki huyo amekosekana kwa muda mrefu kidogo kwenye timu hiyo lakini sasa anaaminika kuwa anaweza kuisaidia timu hiyo katika kipindi hiki cha kuwania ubingwa wa ligi hiyo.

    Hata hivyo, bado kocha wa Liverpool, Juggen Klopp anaweza asimtumie mchezaji huyo kwenye mchezo ujao kwa kuwa alikuwa nje kwa muda mrefu kuanzia Desemba 5, mwaka jana.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako