• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Katibu mkuu wa UM aionya Marekani kuhusu athari mbaya ya ongezeko la joto duniani

    (GMT+08:00) 2019-03-29 08:54:52

    Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Antonio Guterres ameionya Marekani ambayo ilijitoa kwenye Makubaliano ya Paris kuwa itakumbwa na athari mbaya zaidi za ongezeko la joto duniani. Bw. Gutterres amesema mabadiliko ya hali ya hewa yanaathiri dunia nzima, lakini athari mbaya katika baadhi ya maeneo duniani ikiwemo Marekani, imekuwa endelevu na itazidi kuongezeka isipokuwa kama binadamu watageuza mwelekeo huo. Mwaka jana nchini Marekani pekee, kulikuwa na maafa 14 yanayohusiana na hali ya hewa ambayo yaliisababishia Marekani hasara ya jumla ya dola za kimarekani bilioni 49.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako