• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Venezuela yamzuia Bw. Juan Guaido kushika utumishi wa umma kwa miaka 15

    (GMT+08:00) 2019-03-29 08:55:38

    Mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali nchini Venezuela Bw. Elvis Amoroso amesema kiongozi wa upinzani Bw. Juan Guaido atazuiliwa kushika nafasi ya utumishi wa umma kwa miaka 15 kufuatia uchunguzi unaoonyesha vitendo visivyo sahihi katika rekodi zake za fedha. Amesema uamuzi huo utakuwa wa muda mrefu zaidi kuamuliwa na amri hiyo inayoonesha ukali, ujasiri na nguvu ya sheria dhidi ya ufisadi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako