• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu 15 wauawa kwenye mlipuko wa gari Mogadishu

    (GMT+08:00) 2019-03-29 08:56:06

    Idadi ya vifo vya watu waliouawa kwenye mlipuko wa gari mjini Mogadishu, Somalia imeongezeka hadi 15 huku wengine 17 wakijeruhiwa. Mlipuko huo uliosababishwa na gari moja lililokuwa na mabomu dhidi mgahawa maarufu katika barabara ya Makka Al-Mukarrama, pia umesababisha uharibu wa majengo ya karibu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako