• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkuu wa UNCTAD akutana na rais wa Botswana kuzungumzia mageuzi ya kiuchumi

    (GMT+08:00) 2019-03-29 17:02:05

    Rais Mokgweetsi Masisi wa Botswana amekutana na Katibu Mkuu wa Shirika la biashara na maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNCTAD) Bw. Mukhisa Kituyi ambaye yuko ziarani nchini humo, na kujadili ushirikiano katika mageuzi ya kiuchumi ya nchi hiyo.

    Rais Masisi amesema, anafurahi kukutana na timu ya Umoja wa Mataifa, na anatarajia timu hiyo itakuwa wazi zaidi kuhusu hatua za kuchukua katika ajenda ya mageuzi ya kiuchumi nchini humo.

    Naye Bw. Kituyi amesema UNCTAD itashirikiana na serikali ya Botswana na kubadilishana ujuzi wake kuhusu maendeleo ya dunia na uhusiano kati ya maendeleo hayo na ajenda ya maendeleo ya Botswana.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako