• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Raia wa China wanaoishi Msumbiji wajitahidi kuwasaidia walioathirika na kimbunga cha Idai

    (GMT+08:00) 2019-03-29 17:24:34

    Wachina na watu wenye asili ya kichina na wafanyakazi wa kampuni za China nchini Msumbiji wameiunga mkono serikali ya Msumbiji kwa kutoa misaada kwa waathirika wa kimbunga cha Idai mjini Beira.

    Wachina takriban 300 wamechangia fedha na vitu vinavyohitajika ikiwemo fedha, vyakula, maji ya kunywa, nguo, vitu vya afya pamoja na vifaa vya kuzalisha umeme na kuvipeleka kwenye idara ya kuwasaidia watu ya Msumbiji.

    Takwimu zinaonyesha kuwa zaidi ya watu laki 5.3 wameathirika na kimbunga hicho, na watu 468 wamefariki nchini Msumbiji.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako