• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Duru ya nane ya majadiliano ya ngazi ya juu kuhusu uchumi na biashara kati ya China na Marekani yafanyika hapa Beijing

    (GMT+08:00) 2019-03-30 15:32:43
    Mjumbe wa idara ya kisiasa ya kamati kuu ya chama cha kikomunisti cha China, ambaye pia ni naibu waziri mkuu wa China, na kiongozi wa China katika mazungumzo ya uchumi ya pande zote kati ya China na Marekani Bw. Liu He, mjumbe wa biashara wa Marekani Bw. Robert Lighthizer na waziri wa fedha wa Marekani Bw. Steven Mnuchin tarehe 28 hadi 29 Machi waliendesha duru ya 8 ya mazungumzo ya ngazi ya juu kuhusu uchumi na biashara kati ya China na Marekani, pande hizo mbili zilijadiliana makubaliano na kupata maendeleo mapya.
    Bw. Liu He atafanya ziara nchini Marekani wiki ijayo na kuhudhuria duru ya 9 ya mazungumzo hayo ya ngazi ya juu huko Washington.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako