• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Chama tawala chaongoza katika uchaguzi wa serikali za mitaa nchini Uturuki

    (GMT+08:00) 2019-04-01 09:03:38

    Shirika la utangazaji la taifa la Uturuki TRT limeripoti kuwa matokeo ya awali yameonyesha kuwa muungano wa vyama kati ya chama tawala cha AKP na mashirika yake MHP unaongoza katika uchaguzi wa serikali za mitaa. Ripoti inasema muungano huo umeongoza kwa kupata asilimia 51.8 ya kura baada ya asilimia 90 ya kura kuhesabiwa. Wakati huohuo, muungano wa vyama vya upinzani umepata asilimia 37.6 ya kura.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako