• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu 25 wafariki na wengine 400 wajeruhiwa katika dhoruba nchini Nepal

    (GMT+08:00) 2019-04-01 09:03:59

    Watu wasiopungua 25 wamefariki na wengine 400 wamejeruhiwa baada ya dhoruba kuzikumba wilaya mbili nchini Nepal. Waziri mkuu wa Nepal Bw. Sharma Oli amethibitisha kutokea kwa maafa hayo na kutoa salamu za rambirambi kwa familia za wafiwa. Amesema serikali imetuma wafanyakazi wa usalama kufanya operesheni za uokoaji katika maeneo yaliyoathiriwa na maafa hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako