• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Zelensky na Porosheko waingia katika raundi ya pili ya uchaguzi mkuu nchini Ukraine

    (GMT+08:00) 2019-04-01 09:04:20

    Shirika la habari la Ukraine Ukrinform limeripoti kuwa maoni ya wapiga kura yameonyesha kuwa msanii wa Ukraine Bw. Volodymyr Zelensky na rais wa sasa Petro Poroshenko wamepata kura nyingi zaidi katika raundi ya kwanza ya uchaguzi mkuu wa nchi hiyo na kuingia katika raundi ya pili. Bw. Zelensky anaongoza katika uchaguzi huo kwa kupata asilimia 20.4 ya kura huku rais Prosheko akipata asilimia 17.8 ya kura zote.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako