• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Naibu waziri mkuu wa China aenda Marekani kushiriki kwenye duru mpya ya mazungumzo ya biashara

    (GMT+08:00) 2019-04-01 18:37:30

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bw. Geng Shuang amesema, naibu waziri mkuu wa China Bw. Liu He amekwenda Marekani kushiriki kwenye duru ya tisa ya mazungumzo ya ngazi ya juu ya biashara kati ya China na Marekani.

    Bw. Geng amesema, China inatarajia mazungumzo hayo yatapata maendeleo halisi, na China na Marekani zitashirikiana katika kutekeleza maoni ya pamoja yaliyofikiwa na marais wa nchi hizo mbili ili kufikia makubaliano ya kunufaishana.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako