• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Kombe la FA, Yanga uso kwa uso na Lipuli nusu fainali

    (GMT+08:00) 2019-04-01 19:17:15

    Timu ya Yanga ya Tanzania imetinga nusu fainali ya kombe la shirkisho (FA) kwa kuichapa Alliance ya Mwanza kwa penalty 4-3 mchezo uliopigwa Jumamosi uwanja waCCM Kirumba jijini Mwanza.

    Kipa wa Yanga Klaus Kindoki alikuwa shujaa wa mchezo baada ya kupangua mikwaju miwili ya penalti.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako