• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Ligi kuu Tanzania Bara na ya DRC: Simba SC yaipasua Mbao, FC Lupopo yaitungua TP Mazembe

    (GMT+08:00) 2019-04-01 19:17:21

    Miamba wawili Simba SC ya Tanzania na TP Mazembe ya DRC zikitaraji kukutana mwishoni mwa wikiendi hii katika mchezo wa robo fainali ya klabu bingwa Afrika, mwishoni mwa wikiendi iliyomalizika jana timu hizi kila moja nchini kwake amecheza mchezo wa ligi kuu.

    Simba ilikutana na Mbao FC jana mjini Morogoro, hadi kipyenga cha mwisho kupulizwa, Simba iliibuka na ushindi wa mabao 3-0.

    Huko katika uwanja wa Kibasa Maliba mjini Lubumbashi, FC Lupopo imeifunga TP Mazembe kwa goli 1-0 dakika ya 63 ya mchezo huo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako