• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkuu wa mambo ya kibinadamu wa UM atoa wito wa kufuata sheria ya kibinadamu ya kimataifa

    (GMT+08:00) 2019-04-02 08:54:36

    Naibu katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia masuala ya kibinadamu Bw. Mark Lowcock, ametoa wito wa juhudi zaidi kufanywa kuhakikisha sheria ya ubinadamu ya kimataifa inafuatwa ipasavyo ili kuweka nafasi kwa ajili ya shughuli za kibinadamu. Amesema raia wanaathiriwa vibaya na mgogoro wakati wapiganaji vitani wanazidi kutumia mbinu za kuzingira maeneo fulani na kusababisha njaa kama silaha ya vita, na mgogoro umewazuia wakulima kupata mavuno, kuharibu miundombinu muhimu na kutatiza biashara ya bidhaa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako