• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Jeshi la anga la Nigeria lazuia mashambulizi na kuwaua wapiganaji watano

    (GMT+08:00) 2019-04-02 08:55:24

    Jeshi la anga la Nigeria limesema kikosi chake maalumu kimewaua watu watano wenye silaha wakati linazuia mashambulizi kwenye vijiji viwili vilivyopo katika jimbo la Zamfara, kaskazini magharibi mwa nchi hiyo. Duru za kijeshi zimesema washambuliaji wengine wengi wamekimbilia msituni wakiwa na majeraha ya risasi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako