• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • GOFU: Mufuruki aibuka kidedea michuano ya Gofu

    (GMT+08:00) 2019-04-02 09:10:09
    Ally Mufuruki wa klabu ya gofu ya Lugalo ya Dar es Salaam ameibuka kidedea baada ya kushinda kwa kupiga mikwaju ya neti 45 katika mashindano ya taifa yaliyofanyika Dar es Salaam.

    Mashindano hayo yalishirikisha wachezaji zaidi ya 60 kutoka Klabu ya Arusha Gymkhana, Morogoro Gymkhana, Dar es Salaam Gymkhana na Lugalo.

    Naye mchezaji wa timu ya Taifa ya Tanzania ya wanawake Angel Eaton alishinda upande wa wanawake kwa kupiga mikwaju ya neti 35 akifuatiwa na chipukizi Stella Mbunda aliyepata neti 39.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako