• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Ligi kuu Uingereza, Arsenal yaibutua Newcastle

    (GMT+08:00) 2019-04-02 09:11:58
    Ligi kuu ya Uingereza imeendelea jana usiku kwa mchezo mmoja tu kupigwa kwenye uwanja wa Emirates, ambapo washika bunduki wa London Arsenal ilipokutana na NewCastle United.

    Hadi kipyenga cha mwisho kinapulizwa, Arsenal waliibuka na ushindi wa bao 2-0. Mabao yaliyofungwa na Aaron Ramsey na Alexandre Lacazette yamewawezesha washika bunduki hao kupaa hadi nafasi ya tatu katika msimamo wa ligi hiyo ya EPL.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako