• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Omar al-Bashir wa Sudan awateua mawaziri wapya

    (GMT+08:00) 2019-04-02 09:17:45

    Rais Omar al-Bashir wa Sudan amewateua mawaziri wapya. Bw. Siddiq Mohamed Amer ameteuliwa kuwa waziri wa Ofisi ya Serikali ya Shirikisho, Rawda Al-Haj Mohamed kuwa waziri wa Utamaduni na Utalii, na Abu Huraira Hussein Ali kuwa waziri wa Vijana na Michezo, Muawiyah Osman Khalid kuwa waziri wa nchi katika Wizara ya Mambo ya Nje, Ali Omer Al-Shareef Yousif Al-Hindi kama waziri wa nchi katika Wizara ya Sheria, Al-Sadiq Mohamed Ali Hassab al-Rasoul kama waziri wa nchi katika Wizara ya Fedha na Ahmed Ali Musa kama waziri wa nchi katika Wizara ya Biashara.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako