• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda: Mfanyabishara wa Nigeria atafuta nafasi za uwekezaji kwenye sekta ya madini

    (GMT+08:00) 2019-04-02 19:35:50

    Mfanyabishara bilionea kutoka Nigeria Abdoul Samad Rabiu amesema anatafuta nafasi za uwekezaji kwenye sekta ya madini nchini Rwanda na kanda ya Afrika Mashariki.

    Rabiu ambaye ni mwenyekiti wa BUA Group amewekeza kwenye sekta za sukari, saruji bandari na nyinyinezo na ana utajiri wa jumla wa dola bilioni $1.6B.

    Kampuni yake imefanya mkutano mjini Kigali ili kujadili nafasi za uwekezaji zilizopo na pia kutafiti eneo la Afrika mashairki.

    Alisema asilimi 76 ya kampuni za uchimbaji madini barani Afrika zinamilikiwa na nchi za magharibi ambazo hazisaidii jamii kwenye maeneo yenye madini.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako