• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda: I&M Rwanda yapata faida ya franc bilioni 7.5 mwaka 2018

    (GMT+08:00) 2019-04-02 19:36:20

    Benki ya I&M nchini Rwanda imepata faida ya franc bilioni 7.5 mwaka 2018 baada ya kutozwa ushuru iliwa ni ongezeko la asilimia 15 ikilinganishwa na mwaka 2017.

    Mwaka 2017 benki hiyo ilipata faida ya franc bilioni 6.5.

    Wenye hisa sasa watapokea franc 14.7 kwa kila hisa ikilinganishwa na mwaka 2017 ambapo walipokea franc 14.6.

    Wateja waliifadhi franch bilioni 230 ndani ya kipindi hicho huku nazo mali za benki zikifikia franc bilioni 294.

    Mkurungezi wa benki hiyo Faustin Byishimo, amesema mwaka huu wa fedha watazingatia uwekezaji kwenye biashara ndogo na za wastani ambazo zina uwezo wa kuleta mapato makubwa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako