• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: Serikali kuanzisha miradi midogo ya umwangiliaji

    (GMT+08:00) 2019-04-02 19:38:10

    Serikali ya Uganda itaanzisha miradi midogo ya umwagiliaji zaidi ya 70,000 nchini kote ili kuboresha uzalishaji wa kilimo.

    Kamishna msaidizi wa shughuli za umwangiliaji kwenye wizara ya maji bwana John Twinomujuni, alisema mipango ya umwagiliaji itaanzishwa katika kila parokia nchini Uganda.

    Hata hivyo mwenyekiti wa Chama cha wakulima wa Owameri, Bi Mercy Gwom, alisema mpango wa umwagiliaji wa Owameri unakabiliwa na changamoto kama ukosefu wa maji safi ya kunywa na magari kusafirisha mazao kwenye masoko.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako