• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa China azitaka mamlaka za masuala ya kiraia kutimiza majukumu yao vyema

    (GMT+08:00) 2019-04-02 20:53:35

    Rais Xi Jinping wa China amezitaka mamlaka za masuala ya kiraia kusimamia zaidi kazi ya kuondoa umasikini, makundi maalum, na masuala yanayohusu jamii ili kutimiza vyema majukumu yao.

    Rais Xi amesema hayo katika waraka wa maelekezo uliosomwa kwenye mkutano wa masuala ya kijamii uliofanyika hapa Beijing hii leo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako