• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Baraza la Usalama la UM larejea ahadi ya kuzuia kuenea kwa silaha za nyuklia

    (GMT+08:00) 2019-04-03 09:24:35

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limerejea ahadi yake ya kuhimiza malengo ya Mkataba wa Kuzuia kuenea kwa Silaha za Nyuklia NPT. Kwenye mkutano na waandishi wa habari baada ya wajumbe wa Baraza hilo kukutana kwa ajili ya kuunga mkono Mkataba huo kabla ya Mkutano wa Mapitio wa Mwaka 2020, walisisitiza kufanya malengo ya NPT kuwa msingi wa kutoeneza silaha za nyuklia, kupunguza silaha za nyuklia na matumizi ya amani ya nishati ya nyuklia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako