• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu 57 wafariki kwenye mafuriko katika wiki mbili zilizopita nchini Iran

    (GMT+08:00) 2019-04-03 09:25:15

    Watu wasiopungua 57 wamefariki kwenye mafuriko yaliyozikumba sehemu nyingi za Iran katika wiki mbili zilizopita. Msemaji wa Shirika la Dharura la Iran Bw. Mojtaba Khaledi amesema wengine 478 wamejeruhiwa katika mafuriko hayo. Mvua kubwa na mafuriko yamesababisha uharibifu mkubwa kwenye sekta ya kilimo, miundombinu na maeneo ya makazi mijini na vijijini nchini Iran tangu tarehe 19 Machi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako