• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • VOLIBOLI: GSU yajikwaa Prisons ikitamba voliboli ya Klabu Bingwa Afrika

    (GMT+08:00) 2019-04-03 10:06:20

    Mabingwa wa voliboli wa Kenya, General Service Unit (GSU) wamepoteza mchezo wao dhidi ya Asari kutoka Libya katika mechi yao ya kwanza kwa seti 3-2 ya klabu bingwa Afrika iliyoanza jijini Cairo nchini Misri, Jumatatu.

    Akizingumza kutokea Misri baada ya mechi hiyo ya Kundi D, Kocha mkuu wa GSU Gideon Tarus ameeleza kuwa walizidiwa kimchezo na Asaria lakini wanajipanga vilivyo kushinda mchezo wao wa pili dhidi ya Nemo Stars kutoka Uganda.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako