• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Ligi kuu Uingereza- Man U yapigwa, Watford waifumua Fulham

    (GMT+08:00) 2019-04-03 10:07:33

    Ligi kuu ya Uingereza imefikia patamu, kila timu ikijitahidi kufanya vizuri ili kuwa katika nafasi nzuri zaidi ya kunyakua ubingwa, jana zilipigwa mechi mbili, Watford imeifumua Fulham kwa mabao 4-1, nao Manchester United imekubali kipigo toka kwa Wolverhampton Wanderers cha bao 2-1.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako