• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tanzania: Benki ya NIC yatoa mafunzo ya kwa wanafunzi

    (GMT+08:00) 2019-04-03 19:18:36

    Benki ya NIC nchini Tanzania imetangaza kuanzisha mchakato wa mafunzo kwa vijana wenye matumaini ya kufanya kazi benki.

    Benki hiyo imeanza kufundisha wanafunzi wa shule za sekondari mambo mbalimbali ya kibenki.

    Mkurugenzi Mkuu wa NIC, Mick Karima amsema kuwa lengo ni kuhamasisha wanafunzi kutambua mapema taaluma zao na kuchagua wanataka kufanya kazi gani pindi wanapomaliza masomo.

    Karima alishauri wanafunzi kuhakikisha wanawasikiliza viongozi wanapozungumza mambo mbalimbali yanayoikabili nchi ili wakikua waweze kutatua changamoto.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako