• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: China Railway Seventh Group kujenga barabara kwenye eneo la mafuta Uganda

    (GMT+08:00) 2019-04-03 19:20:35

    Uganda imesaini makubaliano ya dola milioni 134 na kampuni moja ya China ili kujenga sehemu ya barabara za kutumika kwenye eneo la uchimbaji mafuta.

    Barabara inayojengwa na kampuni China Railway Seventh Group ni ya kilomita 97 na ni sehemu ya barabara za urefu wa kilomita 700 kwa jumla kabla ya kuanza uuzaji wa mafuta 2022.

    Kulingana na mamlaka ya kitaifa ya barabara nchini humo, kampuni hiyo ya china kwanza itafdhili mradi huo kwa mwaka mmoja mpaka serikali ipate mfadhili.

    Mkurungezi wa mamlka hiyo bwana Kagina amesema kuwa asilimia 30 ya kazi za mradi huo zimetengewa wenyeji.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako