• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya kuunga mkono sekta binafsi ili kuhimiza uwekezaji na usafirishaji bidhaa nje ya nchi

    (GMT+08:00) 2019-04-04 09:20:04

    Waziri wa biashara, viwanda na ushirika wa Kenya Bw. Peter Munya jana kwenye ufunguzi wa tamasha la Manunuzi la Changamka, amesema Kenya itaunga mkono sekta binafsi ili kuhimiza uwekezaji na usafrishaji nje wa bidhaa, vilevile itashirikana na wazalishaji wa ndani ili kuongeza nguvu ya ushindani na thamani.

    Bw. Munya amesema serikali ya Kenya inashirikiana na mashirika ya fedha kuanzisha mfumo unaohakikisha mikopo kwa kampuni ndogo na za ukubwa wa kati. Pia amesema serikali itakabiliana na changamoto zinazokwamisha maendeleo ya sekta binafsi kupitia hatua za kisera kama vile Nunua ya Kenya, Kuijenga Kenya na Sera za vitu vilivyotengeneza nyumbani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako